Ngesu, Sarah N.; Osore, Miriam K.(Baraza la Kiswahili la Zanzibar, 2018)
Lengo la makala hii ni kubainisha, kuchanganua na kutathmini vepengele vya matini vilivyootafsiriwa kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili katika gazeti la Taifa Leo nchini Kenya.
Mbithi, Mutisya C.; Ngesu, Sarah N.; Chomba, Esther N.(2025-06-12)
Kusudi: Utafiti huu ulichunguza usahihi wa uhawilishaji wa viwakilishi vya jinsia katika vitabu vya Kiingereza vilivyotafsiriwa kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza. Utafiti huu ulidhamiria kuchunguza na ...