Kimondiu, Dorcas K.; Musyoka, Francis; Chomba, Esther N.
(2025)
Makala haya yanakusudia kuchanganua na kulinganisha wahusika wa kiume katika riwaya teule za Kiswahili ambazo ni: Mwisho wa Kosa,(1987) iliyoandikwa na Zainabu Burhani, Siku Njema(1996), iliyoandikwa na Ken Walibora, ...