Abstract:
Ufundishaji wa lugha ya kigeni au lugha ya pili kwa wanafunzi wenye umilisi wa lugha na desturi zao si jamba rahisi. Wakati mwingine, walimu hutumia tafsiri ili wanafunzi waweze kuelewa vipengele vya lugha ya kigeni inayofundishwa. Makala haya yanaangazia matumizi ya mbinu ya tafsiri katika shule za sekondari jijini Kampala nchini Uganda.