Tafsiri kama nyenzo ya kutandawaza utamaduni wa mswahili: mfano wa Siku Jema (1996) na A Good Day (2019)

Show simple item record

dc.contributor.author Ngesu, Sarah N. M.
dc.contributor.author Mrikaria, George
dc.date.accessioned 2023-05-17T09:11:21Z
dc.date.available 2023-05-17T09:11:21Z
dc.date.issued 2022
dc.identifier.citation Journal of the Institute of Kiswahili Studies, Juz. 85, Na. 2 en_US
dc.identifier.issn 0856-048X
dc.identifier.issn 2546-2229
dc.identifier.uri https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kiswahili/article/view/5621
dc.identifier.uri http://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/7237
dc.description DOI: http://doi.org/10.56279/jk.v85i1.10 en_US
dc.description.abstract Lengo la makala hii ni kujadili mchango wa tafsiri katika kutandawaza utamaduni wa Mswahili kwa kuangazia riwaya ya A Good Day (Walibora, 2019) kama tafsiri ya riwaya ya Siku Njema (Walibora, 1996) iliyotafsiriwa na Dorothy Kweyu na Fortunatus Kawegere. Tafsiri imekuwa nyenzo muhimu ya kusambaza maarifa ambayo kinadharia yanahusu vipengele vya kiutamaduni kutoka lugha chanzi kwenda lugha lengwa. Makala hii inaangazia mwamko wa hivi karibuni wa kutafsiri kazi za fasihi kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza. Kulingana na Kimutai (2016) na Ngesu na wenzake (2019), kumekuwa na mwamko mpya wa kutafsiri kazi za Kiswahili kwenda Kiingereza na lugha nyinginezo, kinyume na ilivyokuwa awali ambapo kazi mbalimbali zilikuwa zikitafsiriwa kwa wingi kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili. Data za utafiti huu zilikusanywa kwa kusoma na kuchambua matini chanzi na matini lengwa. Makala hii ililenga kuangazia vipengele vya kiutamaduni vilivyohawilishwa kutoka utamaduni chanzi na kuingizwa katika utamaduni lengwa katika matini teule. Modeli ya Newmark (2003) kuhusu ubainishaji wa vipengele vya kiutamaduni iliongoza uchanganuzi wa data za makala hii. Aidha, mbinu linganishi ilitumiwa kuchanganua kiulinganishi matini chanzi na matini lengwa. Mkabala wa kitaamuli ulitumiwa katika uwasilishaji wa data katika majedwali. Matokeo yanaonesha kwamba kupitia njia ya tafsiri, vipengele vya kiutamaduni vimehawilishwa kutoka lugha chanzi kwenda lugha lengwa. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher University of Dar es Salaam en_US
dc.title Tafsiri kama nyenzo ya kutandawaza utamaduni wa mswahili: mfano wa Siku Jema (1996) na A Good Day (2019) en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Dspace


Browse

My Account