Muthui, Evelyn Kakivi; Chomba, Esther N.
(2019)
Utafiti huu unalenga kutathmini uhalisia wa maudhui katika tamthilia zilizoteuliwa kitahiniwa katika shule za upili hususan tamthilia ya mstahiki meya (Arege, T. 2009) na Kigogo (Kea, P. 2016). Katika kuzisoma tamthilia ...