Mbithi, Mutisya C.; Ngesu, Sarah N.; Chomba, Esther N.
(2025-07-24)
Suala la athari katika uhawilishaji wa kwenye ujumbe wa lugha chanzi katika tafsiri si geni. Tafiti nyingi zimelishughulikia suala hili lakini tafiti hizo zimeegemea sana katika athari ya uhawilishaji wa ujumbe kutoka ...