Ngesu, Sarah N. M.; Osore, Miriam K.
(Baraza la Kiswahili la Zanzibar, 2018)
Lengo la makala hii ni kubainisha, kuchanganua na kutathmini vepengele vya matini vilivyootafsiriwa kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili katika gazeti la Taifa Leo nchini Kenya.