Abadalah, Fatuma; Ngesu, Sarah N. M.; Mrikaria, George Y.
(2023-05-20)
Makala haya yanachunguza kiulinganishaji msamiati wa lugha tatu za Kibantu, mbili zinazungumzwa nchini Tanzania na lahaja mbili za Kikamba zinazozungumzwa nchini Kenya. Lengo la Makala haya ni kutathmini maoni ya Massamba ...