Dhima na changamoto za matumizi ya tafsiri katika ufundishaji wa Kiswahili nchini Uganda

Show simple item record

dc.contributor.author Ngesu, Sarah N. M.
dc.contributor.author Muaka, Leonard
dc.date.accessioned 2023-05-30T12:30:12Z
dc.date.available 2023-05-30T12:30:12Z
dc.date.issued 2023
dc.identifier.citation Makala ya kongamano la tatu la kimataifa la CHAUKIDU, PP 89-111 en_US
dc.identifier.isbn 979-8-218-16460-7
dc.identifier.uri http://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/7243
dc.description.abstract Ufundishaji wa lugha ya kigeni au lugha ya pili kwa wanafunzi wenye umilisi wa lugha na desturi zao si jamba rahisi. Wakati mwingine, walimu hutumia tafsiri ili wanafunzi waweze kuelewa vipengele vya lugha ya kigeni inayofundishwa. Makala haya yanaangazia matumizi ya mbinu ya tafsiri katika shule za sekondari jijini Kampala nchini Uganda. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher CHAUKIDU PRESS en_US
dc.title Dhima na changamoto za matumizi ya tafsiri katika ufundishaji wa Kiswahili nchini Uganda en_US
dc.type Presentation en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Dspace


Browse

My Account