Mielekeo ya wanafunzi wa kidato cha tatu na cha nne kuhusu methali kinzani: uchunguzi katika shule za upili katika Kata ya Township, Kaunti ya Kitui; Kenya

Show simple item record

dc.contributor.author Mbusya, Catherine M.
dc.contributor.author Chomba, Esther N.
dc.date.accessioned 2019-06-13T09:14:05Z
dc.date.available 2019-06-13T09:14:05Z
dc.date.issued 2018-10
dc.identifier.citation International Journal of Advanced Research, 6(10), 1374-1381 en_US
dc.identifier.issn 2320-5407
dc.identifier.uri http://www.journalijar.com/uploads/562_IJAR-25039.pdf
dc.identifier.uri http://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/4479
dc.description DOI: http://dx.doi.org/10.21474/IJAR01/7945 en_US
dc.description.abstract Ukinzani ni dhana ambayo imefasiliwa kama ubishi au upinzani. Ukinzani katika methali za Kiswahili unaweza kufasiliwa kama unyume wa kimaana unaoletwa na methali ambazo ziko katika jozi moja na zinazotoa maana zilizo kinyume. Methali za Kiswahili zina maana na ili maana hiyo ijitokeze kwa namna inayofaa, kila methali inapaswa kutumika katika mazingira yanayooana na maana ya methali mahususi. Methali zina jukumu la kuonya, kusifu, kukashifu, kuelekeza, kuliwaza na kadhalika. Aidha, katika fasihi ya Kiswahili kuna jozi za methali zilizo na maana kinyume. Kwamba, methali moja inakuelekeza huku na nyingine inakupa mwelekeo unaotofautina na ule wa awali. Katika hali kama hii, mtumiaji lugha na mwanajamii kwa jumla anaweza kupatwa na utata wa mwelekeo atakaoufuata. Methali zinapotoa maana zinazopingana basi utata unaweza kujitokeza haswa ukimsemea nwanajamii methali kisha naye akutajia iliyo na maana kinyume, huenda suluhu ya mnachozungumzia ikakosekana. Hali hii ndiyo ilimsukuma mtafiti akitaka kubainisha namna wanajamii wanavyochukulia kuwepo kwa ubishi katika methali za Kiswahili, ikizingatiwa kwamba methali hizi hutumika kila mara na wanajamii katika mazungumzo, nyimbo na hata katika uandishi. en_US
dc.language.iso en en_US
dc.subject Ukinzani en_US
dc.subject Methali za Kiswahili en_US
dc.subject mtumiaji lugha en_US
dc.subject Jozi za methali en_US
dc.subject Mwelekeo en_US
dc.title Mielekeo ya wanafunzi wa kidato cha tatu na cha nne kuhusu methali kinzani: uchunguzi katika shule za upili katika Kata ya Township, Kaunti ya Kitui; Kenya en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Dspace


Browse

My Account