Please use this identifier to cite or link to this item: https://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/8143
Title: Changamoto na faida za kufundisha kiswahili mkondoni katika vyuo vikuu vya Kenya utangulizi
Authors: Kawira, Rhoda
Ngesu, Sarah N
Chomba, Esther N
Keywords: Masomo
Mkondoni
Teknolojia
UVIKO 19
Issue Date: Aug-2025
Publisher: EPRA international journal of multidisciplinary research (IJMR)
Citation: EPRA international journal of multidisciplinary research (IJMR), volume 11, Issue 8, 2025.
Abstract: Utafiti huu ulilenga kutathmini Changamoto na Faida za Kufundisha Kiswahili Mkondoni katika Vyuo Vikuu vya Kenya. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya mawasiliano iliyoasisiwa na wanaisimu Firth, Halliday na Hymes mnamo mwaka wa 1980. Wanaisimu wengine kama vile Naom Chomsky walichangia na kuendeleza nadharia hii. Mbinu za ukusanyaji data zilizotumika ni mahojiano na ujazaji wa hojaji. Waliotoa taarifa waliteuliwa kimakusudi ili waweze kusaidia katika kupata data iliyohitajika. Wanafunzi wanaosoma somo la Kiswahili wa mwaka wa kwanza, pili, tatu na nne wanaofanya kozi ambazo walimu hutumia teknolojia kufundisha walihusishwa. Hii ni kwa sababu si kozi zote zinazofundishwa mkondoni. Wanafunzi wa uzamifu na uzamili, ambao wanafanya kozi ya Kiswahili, pia walihusishwa. Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kitaamuli na kitakwimu na kuwasilishwa kwa michemihimili na micheduara. Walimu watano wanaojihusisha na ufundishaji wa Kiswahili mkondoni pia walihusishwa katika kutoa habari.Hii ni kwa sababu wako na tajiriba katika ufundishaji huo.
URI: https://eprajournals.com/IJMR/article/17417/abstract
http://repository.seku.ac.ke/xmlui/handle/123456789/8143
ISSN: 2455-3662
Appears in Collections:School of Humanities and Social Sciences (JA)

Files in This Item:
File Description SizeFormat 
Kawira_Changamoto na faida za kufundisha kiswahili mkondoni katika vyuo vikuu vya Kenya utangulizi.pdfabstract53.62 kBAdobe PDFView/Open


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.