Please use this identifier to cite or link to this item: https://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/8133
Full metadata record
DC FieldValueLanguage
dc.contributor.authorKiema, Agnes M.-
dc.contributor.authorMutua, John.-
dc.contributor.authorNgesu, Sarah N.-
dc.date.accessioned2025-08-18T17:22:28Z-
dc.date.available2025-08-18T17:22:28Z-
dc.date.issued2025-
dc.identifier.citationInternational journal of advance research and innovative ideas in education, volume 11, issue 4, 2025en_US
dc.identifier.urihttps://ijariie.com/AdminUploadPdf/Changamoto_Zinazomkabili_Mhusika_wa_Kiume_katika_Riwaya_ya_Nguu_za_Jadi_ijariie27091.pdf?srsltid=AfmBOorrHAcGeYn2EoiRlmfunA6yuv3a64rmKLtEVwCpctvBiDCxHXve-
dc.identifier.urihttp://repository.seku.ac.ke/xmlui/handle/123456789/8133-
dc.description.abstractMakala hii imebainisha changamoto zinazomkabili mhusika wa kiume katika riwaya ya Clara Momanyi; Nguu za Jadi (2021). Katika enzi zetu mwanamke amewekwa mbele kinyume na ilivyokuwa wakati dunia ilikuwa imetawaliwa na ubabedume. Inaonekana kana kwamba mambo yamebadilika. Mabadiliko haya yamemwathiri mwanamume katika jamii. Tafiti nyingi za hapo awali zinaonekana kuegemea zaidi kwenye aina za dhuluma zinazowakumba wanawake katika jamii za Kiafrika. Jambo hili linaathiri jamii kwa kuipa mtazamo kuwa, jinsia ya kiume haikabiliwi na matatizo yoyote. Makala hii iliogozwa na nadharia ya uhalisia. Nadharia ya uhalisia inadai kwamba, fasihi inatakiwa kutoa picha halisi ya jamii husika. Nadharia hii ilizuka huko Ulaya katika karne ya kumi na tisa. Makala hii itatoa mwanga mkubwa kuhusiana na masuala ya jinsia ya kiume. Aidha, utafiti huu utakuwa kichocheo cha watafiti wa baadaye wa fasihi kuchunguza masuala yanayohusu jinsia ya kiume. Halikadhalika, kutokana na makala hii, jamii itaweza kubaini changamoto mbalimbali zinazoikabili jinsia ya kiume na athari ya changamoto hizo na hivyo itabuni mikakati ya kukabiliana nazo.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherInternational Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Educationen_US
dc.subjectchangamotoen_US
dc.subjectmhusikaen_US
dc.subjectjinsiaen_US
dc.subjectnadhariaen_US
dc.subjectuhalisiaen_US
dc.subjectfasihien_US
dc.titleChangamoto zinazomkabili mhusika wa kiume katika riwaya ya Nguu za Jadien_US
dc.typeArticleen_US
Appears in Collections:School of Humanities and Social Sciences (JA)

Files in This Item:
File Description SizeFormat 
Kiema_Changamoto zinazomkabili mhusika wa kiume katika riwaya ya Nguu za Jadi.pdfabstract53.21 kBAdobe PDFView/Open


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.