Please use this identifier to cite or link to this item: https://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/8053
Full metadata record
DC FieldValueLanguage
dc.contributor.authorSadi, Hatibu-
dc.contributor.authorOntieri, James-
dc.contributor.authorSengo, Tigiti S.-
dc.date.accessioned2025-05-15T12:32:08Z-
dc.date.available2025-05-15T12:32:08Z-
dc.date.issued2024-
dc.identifier.citationDira ya lugha, juzuu 1, Na. 1, 176-189, 2024en_US
dc.identifier.issn3079-3882-
dc.identifier.urihttps://jadilu.seku.ac.ke/index.php/jadilu/article/view/18/24-
dc.identifier.urihttp://repository.seku.ac.ke/xmlui/handle/123456789/8053-
dc.description.abstractMiiko ni sehemu muhimu inayotoa mwelekeo wa mienendo inayokubalika katika jamii yoyote ulimwenguni. Makala haya yanajadili usawiri wa miiko ya jadi katika jamii ya sasa na mifano ikiwa ni kutoka kwa Wapare wa Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Lengo kuu la makala haya ni kubainisha namna miiko ya jadi inavyohusiana na kuakisi moja kwa moja maisha ya jamii katika vipengele nuwai vya maisha. Mjadala wa makala haya uliongozwa na swali lililouliza: Miiko kama kipera kimojawapo cha sanaajadiiya inasawiri vipi maisha ya kila siku ya jamii? Mkabala uliotumika kwenye makala haya ni wa kimaelezo. Mbinu zilizotumika katika utafiti wa makala haya ni mbili. Mbinu ya kwanza ni ya usaili ambayo iliwezesha upatikanaji wa data za awali (msingi) na mbinu ya pili ni ya uchanganuzi wa matini ambayo iliwezesha upatikanaji wa data za upili. Nadharia ya Taalimu Ina Kwao na Fasihi Ina Kwao, ndiyo iliyotumiwa kwenye mwendelezo wa uchunguzi na uchambuzi wa makala haya. Matokeo ya tafiti yalionesha kuwa, miiko ya jadi ni kipera muhimu cha sanaajadiiya kilichofumbata tamathali za semi na hurithishwa kwa njia ya masimulizi. Miiko inasawiri maisha ya jamii na ni mhimili muhimu wa maadili. Miiko hiyo huakisi jamii kitamaduni na kimazingira na hivyo kuendelea kudhihirisha umuhimu usio na shaka.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSouth Eastern Kenya Universityen_US
dc.subjectUsawirien_US
dc.subjectMiikoen_US
dc.subjectJadien_US
dc.subjectJamii ya Sasaen_US
dc.subjectWapareen_US
dc.titleUsawiri wa Miiko ya Jadi katika Jamii ya Sasa: Mifano kutoka Jamii ya Wapareen_US
dc.typeArticleen_US
Appears in Collections:School of Humanities and Social Sciences (JA)

Files in This Item:
File Description SizeFormat 
Sadi_Usawiri wa Miiko ya Jadi katika Jamii ya Sasa....pdfabstract3.78 kBAdobe PDFView/Open


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.