Please use this identifier to cite or link to this item: https://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/4916
Title: Tafsiri Tenge katika Matini Zilizotafsiriwa kwa Tafsiri-Mashine: Uchanganuzi wa Matini za Kiingereza-Kiswahili
Authors: Ngesu, Sarah N.
Keywords: Tafsiri tenge
tafsiri-mashine
lugha chanzi
lugha lengwa
matini
Issue Date: Apr-2019
Publisher: Moi University Press, Eldoret
Citation: Jarida la Mwanga wa Lugha, 3(1) 75-92 (1)
Abstract: Makala haya yanachunguza mchakato wa katafsiri kwa Tafsiri- Mashine. Tafsiri- Mashine baina ya lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutumiwa na wasorni, wafasiri, watalii, watafiti na wajifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya kigeni au ya pill. Kwa hivyo, ni nyenzo muhimu katika mchakato wa kutafsiri matini. Hata hivyo, mchakato huu unakabiliwa na changamoto za tafsiri tenge kama inavyodhihirika katika makala haya. Mbinu ya uchambuzi wa matiniilitumiwa kukusanya data iliyojenga msingi wa makala haya. Matin! zilizotafsiriwa kwa kutumia Tafsiri- Mashine (kuanzia sasa, TM) zilichanganuliwa kiulinganishi, Matokeo yanaonesha kwamba tafsiri ya neno kwa neno inayotumika kwa upana katika TM ina upungufu katika kuhawilisha maana kutoka Kiingereza (lugha chanzi) kwenda Kiswahili (lugha lengwa). Tafsiri haihusishi tu maneno na sentensi bali ni mchakato changamani unaohusisha vipengele vingi. Mwandishi wa makala haya ameonesha mifano anuwai ya tafsiri tenge na kutoa mapendekezo ya kukabiliana na changamoto hizo. Matokeo ya utaftti huu yamebainisha kwamba lugha nyingi za Kiafrika ikiwemo lugha ya Kiswahili, hazijaweza kufaidi katika mbinu hii ya kutafsiri kwa mashine (kompyuta).
URI: http://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/4916
Appears in Collections:School of Humanities and Social Sciences (JA)

Files in This Item:
File Description SizeFormat 
Ngesu_Tafsiri tenge katika matini zilizotafsiriwa kwa Tafsiri-Mashine.pdfAbstract102.41 kBAdobe PDFThumbnail
View/Open


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.