Please use this identifier to cite or link to this item: https://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/4915
Title: Tafsiri tenge katika vitomeo vya kamusi thaniya ya Kiingereza-Kiswahili: changamoto katika taaluma za Kiswahili
Authors: 
Ngesu, Sarah N.
Kandagor, Mosol
Issue Date: Jul-2019
Publisher: Moi University Press, Eldoret
Abstract: Kamusi ni kitabu chenye vipengele vya kileksia vinavyopangwa kwa utaratibu fulani au muundo, kikiwa na taarifa muhimu kuhusu vipashio hivyo (Elkateb, 2014). Miongoni mwa vigezo vinavyotumiwa kuainisha kamusi ni lugha. Vigezo vingine ni ukubwa, walengwa na maudhui. Taarifa inayotolewa inaweza kuwa katika lugha moja na kuunda kamusi Wahidiya au katika lugha mbili (Kamusi Thaniya) au lugha zaidi ya mbili na kuunda Kamusi Mahuluti. Kamusi thaniya na mahuluti hutumiwa katika mchakato wa tafsiri na pia hujulikana kama kamusi ya wingilugha. Jamii nyingi ulimwenguni huwa jamii lugha ulumbi ambapo lugha zaidi ya mbili huzungumzwa. Sura hii inajadili tafsiri tenge kwenye kamusi thaniya ya Kiingereza-Kiswahili (TUKI, Toleo la Tatu).
URI: http://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/4915
ISBN: 978-9966-133-56-4
Appears in Collections:School of Humanities and Social Sciences (BC)

Files in This Item:
File Description SizeFormat 
Ngesu_Tafsiri tenge katika vitomeo vya kamusi thaniya ya Kiingereza-Kiswahili.pdfIntroduction47.82 kBAdobe PDFThumbnail
View/Open


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.