Please use this identifier to cite or link to this item: https://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/4479
Full metadata record
DC FieldValueLanguage
dc.contributor.authorMbusya, Catherine M.-
dc.contributor.authorChomba, Esther N.-
dc.date.accessioned2019-06-13T09:14:05Z-
dc.date.available2019-06-13T09:14:05Z-
dc.date.issued2018-10-
dc.identifier.citationInternational Journal of Advanced Research, 6(10), 1374-1381en_US
dc.identifier.issn2320-5407-
dc.identifier.urihttp://www.journalijar.com/uploads/562_IJAR-25039.pdf-
dc.identifier.urihttp://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/4479-
dc.descriptionDOI: http://dx.doi.org/10.21474/IJAR01/7945en_US
dc.description.abstractUkinzani ni dhana ambayo imefasiliwa kama ubishi au upinzani. Ukinzani katika methali za Kiswahili unaweza kufasiliwa kama unyume wa kimaana unaoletwa na methali ambazo ziko katika jozi moja na zinazotoa maana zilizo kinyume. Methali za Kiswahili zina maana na ili maana hiyo ijitokeze kwa namna inayofaa, kila methali inapaswa kutumika katika mazingira yanayooana na maana ya methali mahususi. Methali zina jukumu la kuonya, kusifu, kukashifu, kuelekeza, kuliwaza na kadhalika. Aidha, katika fasihi ya Kiswahili kuna jozi za methali zilizo na maana kinyume. Kwamba, methali moja inakuelekeza huku na nyingine inakupa mwelekeo unaotofautina na ule wa awali. Katika hali kama hii, mtumiaji lugha na mwanajamii kwa jumla anaweza kupatwa na utata wa mwelekeo atakaoufuata. Methali zinapotoa maana zinazopingana basi utata unaweza kujitokeza haswa ukimsemea nwanajamii methali kisha naye akutajia iliyo na maana kinyume, huenda suluhu ya mnachozungumzia ikakosekana. Hali hii ndiyo ilimsukuma mtafiti akitaka kubainisha namna wanajamii wanavyochukulia kuwepo kwa ubishi katika methali za Kiswahili, ikizingatiwa kwamba methali hizi hutumika kila mara na wanajamii katika mazungumzo, nyimbo na hata katika uandishi.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.subjectUkinzanien_US
dc.subjectMethali za Kiswahilien_US
dc.subjectmtumiaji lughaen_US
dc.subjectJozi za methalien_US
dc.subjectMwelekeoen_US
dc.titleMielekeo ya wanafunzi wa kidato cha tatu na cha nne kuhusu methali kinzani: uchunguzi katika shule za upili katika Kata ya Township, Kaunti ya Kitui; Kenyaen_US
dc.typeArticleen_US
Appears in Collections:School of Education (JA)

Files in This Item:
File Description SizeFormat 
Mbusya_Mielekeo ya wanafunzi wa kidato cha tatu na cha nne kuhusu methali kinzani.pdfAbstract4.45 kBAdobe PDFThumbnail
View/Open


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.