Changamoto zinazomkabili mhusika wa kiume katika riwaya ya Nguu za Jadi

Show simple item record

dc.contributor.author Kiema, Agnes M.
dc.contributor.author Mutua, John.
dc.contributor.author Ngesu, Sarah N.
dc.date.accessioned 2025-08-18T17:22:28Z
dc.date.available 2025-08-18T17:22:28Z
dc.date.issued 2025
dc.identifier.citation International journal of advance research and innovative ideas in education, volume 11, issue 4, 2025 en_US
dc.identifier.uri https://ijariie.com/AdminUploadPdf/Changamoto_Zinazomkabili_Mhusika_wa_Kiume_katika_Riwaya_ya_Nguu_za_Jadi_ijariie27091.pdf?srsltid=AfmBOorrHAcGeYn2EoiRlmfunA6yuv3a64rmKLtEVwCpctvBiDCxHXve
dc.identifier.uri http://repository.seku.ac.ke/xmlui/handle/123456789/8133
dc.description.abstract Makala hii imebainisha changamoto zinazomkabili mhusika wa kiume katika riwaya ya Clara Momanyi; Nguu za Jadi (2021). Katika enzi zetu mwanamke amewekwa mbele kinyume na ilivyokuwa wakati dunia ilikuwa imetawaliwa na ubabedume. Inaonekana kana kwamba mambo yamebadilika. Mabadiliko haya yamemwathiri mwanamume katika jamii. Tafiti nyingi za hapo awali zinaonekana kuegemea zaidi kwenye aina za dhuluma zinazowakumba wanawake katika jamii za Kiafrika. Jambo hili linaathiri jamii kwa kuipa mtazamo kuwa, jinsia ya kiume haikabiliwi na matatizo yoyote. Makala hii iliogozwa na nadharia ya uhalisia. Nadharia ya uhalisia inadai kwamba, fasihi inatakiwa kutoa picha halisi ya jamii husika. Nadharia hii ilizuka huko Ulaya katika karne ya kumi na tisa. Makala hii itatoa mwanga mkubwa kuhusiana na masuala ya jinsia ya kiume. Aidha, utafiti huu utakuwa kichocheo cha watafiti wa baadaye wa fasihi kuchunguza masuala yanayohusu jinsia ya kiume. Halikadhalika, kutokana na makala hii, jamii itaweza kubaini changamoto mbalimbali zinazoikabili jinsia ya kiume na athari ya changamoto hizo na hivyo itabuni mikakati ya kukabiliana nazo. en_US
dc.language.iso en en_US
dc.publisher International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education en_US
dc.subject changamoto en_US
dc.subject mhusika en_US
dc.subject jinsia en_US
dc.subject nadharia en_US
dc.subject uhalisia en_US
dc.subject fasihi en_US
dc.title Changamoto zinazomkabili mhusika wa kiume katika riwaya ya Nguu za Jadi en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Dspace


Browse

My Account