Ontolojia ya nafsi katika riwaya teule za Muhammed Said Abdulla: Uchunguzi wa kikani

Show simple item record

dc.contributor.author Khamis, Tatu Y.
dc.contributor.author Jumanne, Arafa
dc.date.accessioned 2025-05-15T08:18:41Z
dc.date.available 2025-05-15T08:18:41Z
dc.date.issued 2024
dc.identifier.citation Dira ya Lugha, Juzuu 1, Na. 1, 70-80, 2024 en_US
dc.identifier.issn 3079-3882
dc.identifier.uri https://jadilu.seku.ac.ke/index.php/jadilu/article/view/27/33
dc.identifier.uri http://repository.seku.ac.ke/xmlui/handle/123456789/8049
dc.description.abstract Makala hii inajadili ontolojia ya nafsi katika riwaya teule za Muhammed Said Abdulla kwa kujiegemeza katika kipengele cha kani. Kimsingi, kila mwanadamu ana nafsi. Nafsi ni kipengele kinachotazamwa kama uhai, roho pamoja na moyo (Kaponda, 2018). TUKI (1981) wanafasili dhana ya nafsi kuwa ndiyo roho au kiini cha dhati ya jambo husika. Hivyo, nafsi huongoza hali ya kupumua na kuupa uhai mwili wa mwanadamu. Aidha, kila nafsi inaongozwa na kani ambayo aghalabu huwa ni fiche. Data za msingi zilizofafanuliwa katika makala hii zimepatikana maktabani na uwandani kwa kutumia mbinu ya usaili na uchambuzi wa maandiko. Nadharia ya Nje- Ndani ilitumika katika kuongoza mjadala. Matokeo ya mjadala yanaonesha kuwa nafsi kiontolojia haiwezi kuonekana lakini kani yake inabainika katika matendo, lawama, kupaparika, kutulia na kuamrisha maovu. Ithibati ya matokeo haya yametolewa kutoka katika riwaya tatu za Muhammed Said Abdulla ambazo ni Duniani Kuna Watu, Kosa la Bwana Msa, na Kisima cha Giningi. en_US
dc.language.iso en en_US
dc.publisher South Eastern Kenya University en_US
dc.subject Kani en_US
dc.subject Nafsi en_US
dc.subject Ontolojia en_US
dc.title Ontolojia ya nafsi katika riwaya teule za Muhammed Said Abdulla: Uchunguzi wa kikani en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Dspace


Browse

My Account