Ujitokezaji wa nomino za Kiswahili zinazoibua maana za kitashibiha katika riwaya ya zawadi ya ushindina watoto wa maman’tilie

Show simple item record

dc.contributor.author Yobu, Judith
dc.contributor.author Mturo, Neema
dc.contributor.author Ngesu, Sarah N.
dc.date.accessioned 2025-05-14T11:18:48Z
dc.date.available 2025-05-14T11:18:48Z
dc.date.issued 2024
dc.identifier.citation Dira ya Lugha, Juzuu 1, Na. 1, 128-138, 2024 en_US
dc.identifier.issn 3079-3882
dc.identifier.uri https://jadilu.seku.ac.ke/index.php/jadilu/article/view/22/28
dc.identifier.uri http://repository.seku.ac.ke/xmlui/handle/123456789/8036
dc.description.abstract Makala hii imechunguza ujitokezaji wa nomino za Kiswahili zinazoibua maana za kitashibiha katika riwaya ya Zawadi ya Ushindi na Watoto wa Maman’tilie. Data zilipatikana kwa uchanganuzi matini maktabani kwa usomaji makini wa riwaya teule. Matokeo ya utafii yaliyozaa makala hii yameonesha kuwa nomino ni kijenzi muhimu katika muundo wa kuibua maana ya kitashibiha. Pia, yameonesha kuna nomino za wazi na nomino fiche kwenye kazi za kifasihi zinazoibua maana za kitashibiha. Nomino hizi hutumiwa kwa lengo la kuonesha ubunifu na upekee wa kifasihi ambao wasanii hulinganisha hali za maumbile na tabia za jamii ili kutoa mafunzo, kupamba lugha na kuufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa jamii iliyolengwa kupitia tashibiha. Nomino fiche za makala hii zimeibua maana za kitashibiha kupitia nafasi, muundo na matumizi ya nomino kulingana na muktadha wa sentensi za Kiswahili. Makala hii inapendekeza kuwa wataalamu wa fasihi wanapaswa kuchunguza suala la maana za kitashibiha kwenye tanzu zote za fasihi ili kubaini darajia za maneno hasa vitenzi vinavyobeba dhima za kifasihi na kisarufi katika kuibua maana za kitashibiha ili kusaidia dhana ya fasihi linganishi. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher South Eastern Kenya University en_US
dc.subject Maana en_US
dc.subject Tashibiha en_US
dc.subject Nomino Wazi en_US
dc.subject Nomino Fiche en_US
dc.title Ujitokezaji wa nomino za Kiswahili zinazoibua maana za kitashibiha katika riwaya ya zawadi ya ushindina watoto wa maman’tilie en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Dspace


Browse

My Account