Utafiti huu uliongozwa na lengo la kutathimini maudhui kwenye tamthilia tahininiwa za karne ya ishirini na moja na kuyalinganisha na matukio halisi katika jamii.Mtafiti pia alitakikana kubaini ufaafu na uhalisi wa maudhui ...
Azima ya tasnifu hii ni kufanya uchanganuzi wa kiufafanuzi kuhusu usilimisho wa
maneno mkopo katika LAKĨMŨ kwa kutumia msingi wa kinadharia
uliochangamano. Kila lugha ni tokeo la mabadiliko, hakuna lugha iliyo ya ...
Tasnifu hii inajadili swala la wahusika katika hadithi fupi ya Kiswahili. Tumetumia diwani tatu za hadithi fupi: Kicheko cha Ushindi (1978), Pendo la Heba na Hadithi Nyingine (1996), na Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi ...