Ngesu, Sarah N. M.
(Moi University Press, Eldoret, 2019-04)
Makala haya yanachunguza mchakato wa katafsiri kwa Tafsiri- Mashine. Tafsiri- Mashine baina ya lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutumiwa na wasorni, wafasiri, watalii, watafiti na wajifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya ...