Changamoto za tafsiri tenge katika ufundishaji wa Kiswahili katika shule za sekondari jijini Kampala

Show simple item record

dc.contributor.author Mrikaria, George
dc.contributor.author Ngesu, Sarah N. M.
dc.date.accessioned 2022-06-20T12:35:50Z
dc.date.available 2022-06-20T12:35:50Z
dc.date.issued 2022-06
dc.identifier.citation Jarida la CHAKAMA, 1, 169-184. en_US
dc.identifier.uri http://journals.chaka-ma.com/index.php/jaridalachakama/article/view/23
dc.identifier.uri http://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/6828
dc.description.abstract Makala haya yameonyeshakwambamatumizi ya tafsiri hususanuteuzi wa mikakati ya tafsiri katikaufundishaji wa lugha kama nyenzo ya kurahisisha mawasiliano hukabiliwa na changamoto mbalimbali. Data zilikusanywa kupitia ushuhudiaji na uchambuzi wa nyaraka. Kulingana naCook (2018)tafsiri ni mchakato unaohusisha uteuzi wa mikakati ya tafsiri ambayo ndiyo msingi anaotumia mfasiri anapokabiliwa na tatizolaukosefu wa visawe vya moja kwa moja baina ya lugha chanzi (kuanzia sasa LC) na lugha lengwa (kuanzia sasa, LL). Tafiti tanguliziMohamed (2014),Ngwendu (2016), Ito (2017), Mahi (2018), Navidinia na wenzie (2019), Karimah (2020) na Ngesu (2020) kuhusutafsiri na ufundishaji wa lugha ya kigenihazijachunguza changamoto za uteuzi wa mikakati ya tafsiri katikahali halisi darasaniilazimejiegemeza kuchunguza changamoto za tafsiri kwa jumla. Uteuzi wa mikakati ya tafsiri isiyofaa unaweza kukwamisha mawasiliano katika ufundishaji na unaweza kuwa naathari hasi kwa mwanafunzi anayejifunza lugha. Hivyo, ilionekana ni muhimu kuchunguza uteuzi wa mikakati ya tafsiri katika mchakato halisi wa ufundishaji wa Kiswahilidarasani. Matokeo yanaonesha kwamba walimu na wanafunzi hukabiliana na changamoto mbalimbali kutokana na kutumia mkakati wa tafsirisisisi kwa lengo la kurahisisha mawasiliano. Inapendekezwakuwa walimu ambao hawana maarifa na umahiri katika taaluma ya tafsiri waepuke kutumia tafsiri katika ufundishaji wa Kiswahili. Pia, inapendekezwa kuandaawarsha za mara kwa mara ili kuwasaidia walimu ambao tayari wamesoma kozi mbalimbali za tafsiri ili kuboresha umahiri wao katika tafsiri. Pia, inapendekezwa kuwawezesha walimu na wanafunzi kuwa na vitendeakazi kama vile kamusi thaniya na kamusi wahidiya. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.subject Tafsiri en_US
dc.subject Tafsiri Sisisi en_US
dc.subject Ufundishaji en_US
dc.subject Lugha ya Kigeni en_US
dc.title Changamoto za tafsiri tenge katika ufundishaji wa Kiswahili katika shule za sekondari jijini Kampala en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Dspace


Browse

My Account