Muusya, Justus K.; Kandagor, Mosol(South Eastern Kenya University, 2024)
Tamthilia ya Kiswahili ina historia fupi ikilinganishwa na tanzu zingine, hasa ushairi. Tamthilia za kwanza kuwahi kutafsiriwa kwa Kiswahili na zilizoandikwa kwa lugha hii zilizingatia sana maudhui ya kidini, kizalendo, ...
Mohammed, Sayfa A.(South Eastern Kenya University, 2024)
Makala hii inafafanua ujumi unavyoakisi hali halisi ya jamii katika hurafa za Wapemba. King’ei (2019), akizungumzia kuhusu Ujumi mweusi, ameeleza kuwa ni tangamano la itikadi, falsafa na maoni ambayo yalikusudiwa kutetea ...
Kasiga, Gervas A.(South Eastern Kenya University, 2024)
Imebainika kuwa filamu za Kiswahili nchini Tanzania ni “pacha” wa filamu za ki-Nigeria. Hivyo, makala hii ambayo data zake zilipatakana kwa kutipia na kuchanganua nyaraka imechunguza sababu zinazowasukuma watayarishaji wa ...
Miiko ni sehemu muhimu inayotoa mwelekeo wa mienendo inayokubalika katika jamii yoyote ulimwenguni. Makala haya yanajadili usawiri wa miiko ya jadi katika jamii ya sasa na mifano ikiwa ni kutoka kwa Wapare wa Mwanga Mkoani ...
Khamisi, Daud; Mturo, Neema; Ngesu, Sarah N.; Msigwa, Arnold(South Eastern Kenya University, 2024)
Makala hii inachanganua mbinu zinazotumika katika kufundisha Kiswahili kama lugha ya kigeni ili kuwezesha uzingativu wa utamaduni jamii. Tafiti mbalimbali zimeonesha mchango wa mbinu za kufundishia lugha kwa wajifunzaji ...
Antony, Waithiru K.(South Eastern Kenya University, 2024)
Makala hii inahusu uhakiki wa usawiri wa taashira ya uongozi katika nchi za Afrika, hasa zile zilizowahi kutawaliwa na mbeberu, kwa kujikita katika tamthilia ya Kiswahili. Tamthilia iliyohakikiwa ni moja ambayo imeandikwa ...
Githinji, Peter(South Eastern Kenya University, 2024)
Tunapokaribia karne moja ya usanifishaji wa Kiswahili, ni dhahiri kuwa ni wachache wanaoongea Kiswahili Sanifu katika mataifa ya Afrika Mashariki na Kati. Hili linatokana na kuwa idadi kubwa ya wakazi wa ukanda huu hujifunza ...
Khamis, Tatu Y.; Jumanne, Arafa(South Eastern Kenya University, 2024)
Makala hii inajadili ontolojia ya nafsi katika riwaya teule za Muhammed Said Abdulla kwa kujiegemeza katika kipengele cha kani. Kimsingi, kila mwanadamu ana nafsi. Nafsi ni kipengele kinachotazamwa kama uhai, roho pamoja ...
Lupogo, Issaya(South Eastern Kenya University, 2024)
Lugha ya Kiswahili kama zilivyo lugha zingine ina kawaida ya kutohoa maneno kutoka lugha mbalimbali. Miongoni mwa maneno yanayotoholewa ni maneno changamani, yaani neno moja linaloundwa na maneno zaidi ya moja; mfano, neno ...
Ndumiwe, Elishafati J.; Madila, Zacharia(South Eastern Kenya University, 2024)
Lugha ya Kiswahili imekuwa bidhaa adimu kwa miaka ya hivi karibuni kutokana na fursa za ajira zinazopatikana ndani yake (Mahenge, 2021). Miongoni mwa fursa hizo ni tafsiri, ukalimani, ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni, ...
Sovu, Ahmad Y.(South Eastern Kenya University, 2024)
Makala hii imechunguza athari za matamshi ya lugha za jamii zinavyosababisha ukiushi wa maana katika maneno ya Kiswahili Sanifu. Hoja kuu katika makala hii ni kuwa, pamoja na kuwapo kwa tafiti anuwai zilizodhihirisha ...
Makau, Silvester L.; Ngugi, Pamela M.(South Eastern Kenya University, 2024)
Makala hii imelenga kubainisha nafasi ya picha katika kukuza upokezi wa msomaji katika vitabu teule vya fasihi ya watoto: Kesho! Kesho! (Hussein, 2009) na Werevu wa Juma (Yahya, 2003). Utafiti huu umechochewa na kuwepo kwa ...
Chomba, Esther N.(South Eastern Kenya University, 2024)
Makala hii imeshughulikia usambamba wa kisemantiki kati ya methali za Kikuyu na za Kiswahili kwa kuangazia methali zinazobainisha nafasi ya mwanamke, ndoa na malezi katika jamii hizi. Lengo kuu lilikuwa kuchanganua methali ...
Yobu, Judith; Mturo, Neema; Ngesu, Sarah N.(South Eastern Kenya University, 2024)
Makala hii imechunguza ujitokezaji wa nomino za Kiswahili zinazoibua maana za kitashibiha katika riwaya ya Zawadi ya Ushindi na Watoto wa Maman’tilie. Data zilipatikana kwa uchanganuzi matini maktabani kwa usomaji makini ...
Wambua, Raphael M.; Akuja, Thomas E.; Sevu, Rachael M.(2025)
Contract Farming is considered to play a crucial role in sustainable and improved food security and community livelihoods. There are multiple challenges in Arid and Semi-Arid Lands (ASALs) of Kenya such as land degradation, ...
Okello, Cornelius; Wambiji, Nina; Kihia, Susana W.; Ongeso, Nehemiah; Mwamburi, Samuel M.; Wandera, Anthony; Demory, Marie-Estelle; Owuor, Margaret A.(Wiley, 2025)
Restoration of degraded arid and semi-arid lands (ASALs) dryland ecosystems gained traction globally with the enactment of the Bonn Challenge and UN Decade of Restoration. This has been domesticated in Kenya's context by ...
Okoma, Rose N.; Omuse, Evanson R.; Mutyambai, Daniel M.; Beesigamukama, Dennis; Murongo, Marius F.; Subramanian, Sevgan; Chidawanyika, Frank(Frontiers Media, 2025-04-25)
Global food production systems are under pressure due to population increase, limited farmland, biotic and abiotic constrains, and ongoing climate change. Sustainable intensification is needed to increase agricultural ...
Kitheka, Joel M.; Musau, Peter M.; Nyete, Abraham M.; Abungu, Nicodemus O.(2025-04-12)
Most villages in Sub-Saharan Africa still lack electricity, despite numerous initiatives and commissions established to address power demands in developing countries. Renewable energy, rural electrification, and ...
Ogbonna, Vincent A.; Kauti, Matheaus K.; Ndungu, Charles K.; Kiruki, Harun M.(2025-04-04)
Studies on Land use/land cover (LULC) changes from 2015 to 2023 were analyzed to understand the spatial variation in water quality within the Athi River Basin. Data was extracted from Landsat 8 imagery from the USGS archive ...
Marabi, Phidelis M.; Kosiyo, Paul M.; Musyoki, Stanslaus K.; Ouma, Collins(2025-04-10)
Background: Menorrhagia, characterised by menstrual blood loss exceeding 80 mL per cycle, is a common issue in Western Kenya. However, there are insufficient data on how hormonal disorders contribute to its occurrence.
Objective: ...