DSpace Home

SEKU Repository

SEKU Repository is a digital service that collects, preserves, and distributes digital material. Repositories are important tools for preserving an organization's legacy; they facilitate digital preservation and scholarly communication.

Communities in DSpace

Recently Added

  • Muusya, Justus K.; Kandagor, Mosol (South Eastern Kenya University, 2024)
    Tamthilia ya Kiswahili ina historia fupi ikilinganishwa na tanzu zingine, hasa ushairi. Tamthilia za kwanza kuwahi kutafsiriwa kwa Kiswahili na zilizoandikwa kwa lugha hii zilizingatia sana maudhui ya kidini, kizalendo, ...
  • Mohammed, Sayfa A. (South Eastern Kenya University, 2024)
    Makala hii inafafanua ujumi unavyoakisi hali halisi ya jamii katika hurafa za Wapemba. King’ei (2019), akizungumzia kuhusu Ujumi mweusi, ameeleza kuwa ni tangamano la itikadi, falsafa na maoni ambayo yalikusudiwa kutetea ...
  • Kasiga, Gervas A. (South Eastern Kenya University, 2024)
    Imebainika kuwa filamu za Kiswahili nchini Tanzania ni “pacha” wa filamu za ki-Nigeria. Hivyo, makala hii ambayo data zake zilipatakana kwa kutipia na kuchanganua nyaraka imechunguza sababu zinazowasukuma watayarishaji wa ...
  • Sadi, Hatibu; Ontieri, James; Sengo, Tigiti S. (South Eastern Kenya University, 2024)
    Miiko ni sehemu muhimu inayotoa mwelekeo wa mienendo inayokubalika katika jamii yoyote ulimwenguni. Makala haya yanajadili usawiri wa miiko ya jadi katika jamii ya sasa na mifano ikiwa ni kutoka kwa Wapare wa Mwanga Mkoani ...
  • Khamisi, Daud; Mturo, Neema; Ngesu, Sarah N.; Msigwa, Arnold (South Eastern Kenya University, 2024)
    Makala hii inachanganua mbinu zinazotumika katika kufundisha Kiswahili kama lugha ya kigeni ili kuwezesha uzingativu wa utamaduni jamii. Tafiti mbalimbali zimeonesha mchango wa mbinu za kufundishia lugha kwa wajifunzaji ...

View more