Ngesu, Sarah N. M.
(2021-06-21)
Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa kutathmini matumizi ya tafsiri na mikakati ya
tafsiri katika ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya kigeni katika
shule za sekondari nchini Uganda. Utafiti ulikuwa na malengo ...