Tafsiri tenge katika vitomeo vya kamusi thaniya ya Kiingereza-Kiswahili: changamoto katika taaluma za Kiswahili

Show simple item record

dc.contributor.advisor
dc.contributor.author Ngesu, Sarah N. M.
dc.contributor.author Kandagor, Mosol
dc.date.accessioned 2019-09-11T06:47:04Z
dc.date.available 2019-09-11T06:47:04Z
dc.date.issued 2019-07
dc.identifier.isbn 978-9966-133-56-4
dc.identifier.uri http://repository.seku.ac.ke/handle/123456789/4915
dc.description.abstract Kamusi ni kitabu chenye vipengele vya kileksia vinavyopangwa kwa utaratibu fulani au muundo, kikiwa na taarifa muhimu kuhusu vipashio hivyo (Elkateb, 2014). Miongoni mwa vigezo vinavyotumiwa kuainisha kamusi ni lugha. Vigezo vingine ni ukubwa, walengwa na maudhui. Taarifa inayotolewa inaweza kuwa katika lugha moja na kuunda kamusi Wahidiya au katika lugha mbili (Kamusi Thaniya) au lugha zaidi ya mbili na kuunda Kamusi Mahuluti. Kamusi thaniya na mahuluti hutumiwa katika mchakato wa tafsiri na pia hujulikana kama kamusi ya wingilugha. Jamii nyingi ulimwenguni huwa jamii lugha ulumbi ambapo lugha zaidi ya mbili huzungumzwa. Sura hii inajadili tafsiri tenge kwenye kamusi thaniya ya Kiingereza-Kiswahili (TUKI, Toleo la Tatu). en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Moi University Press, Eldoret en_US
dc.title Tafsiri tenge katika vitomeo vya kamusi thaniya ya Kiingereza-Kiswahili: changamoto katika taaluma za Kiswahili en_US
dc.type Book chapter en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Dspace


Browse

My Account